FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Hivi Yanga hawakufanya mazoezi ya kupiga penalt shouts outs?
 
Ila wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa 🤣🤣🤣🤣😂
umeninisimua. we lamomy hupendi kweli? ukaribie nikupoze machungu na mjegeje wa kimeru
 
Pesa aliyopata huyu refa wa mamelods ni nyingi sana. Hata kama watamuondoa kwenye urefa lakini Hela anayo.

Mshenzi sana
 
Huu ndo ulikua mpira na umeisha.

Sasa tukaangalie ile mitoto miekundu ikipigwa kama drums za haleluya
 
Poleni sana wazee tutawasema kwasababu ndio utaratibu ila ukweli ni kwamba mmeonesha kitu kikubwa sana leo
Shukrani mkuu, mamelodi wameshimdwa kuscore mechi mbili dhidi ya Yanga.
Ni bahati tu haikuwa upande wetu.
 
Yanga uwezo wake wa kucheza ligi ya mabingwa ni mdogo sana kwa uzoefu wa ukocha nilio nao ningeshangaa sananl kama yanga wangepita, hawaeleweki wanacheza nini hawana plan kama wamekusanywa watu wa vijiweni wakavalishwa jezi wanaharibu kabisa ladha ya mpira
 
Back
Top Bottom