Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kateni rufaa 😂😂Ila wametunyima goli letu mabwege hawa
umeninisimua. we lamomy hupendi kweli? ukaribie nikupoze machungu na mjegeje wa kimeruIla wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa 🤣🤣🤣🤣😂
Shukrani mkuu, mamelodi wameshimdwa kuscore mechi mbili dhidi ya Yanga.Poleni sana wazee tutawasema kwasababu ndio utaratibu ila ukweli ni kwamba mmeonesha kitu kikubwa sana leo
Hongereni Yanga kwa kuingia 1/2 fainali.Big up sana kwa Yanga kwa kukaza na kwenda hadi matuta na Mamelodi. Yanga ni mwanaume, ngoja tuwasubirie hao mademu zetu walioenda huko Egypt,
Wacha basi, unatuharibia udhu. Twende kule kwa Al Ahly basi.Bacca fala hawa wachezaji walimbato sana kabla ya mechi 😂😂😂
KabisaAFADHALI WAMETOLEWA.....SIJUI TUNGEWEKA WAPI SURA ZETU.....
Wee acha madogo wananicheka hapa live, yani wanacheka balaa. Wanasema sister pole 🤣😂😂😂😂Wacha hiyo bwana. Yanga hatupo hivyo.