Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kipindi Simba anacheza Champion League na Yanga anacheza Confederation.Bado Nafasi Ipo 2025
Na ndio kinachofata watapiga lindo na mbwa ππππWafukuze watarudi kesho
Ahsante sana kwa kuwa mkweli Mtani Makolokolo.So far Yanga kwa kweli wamepambana.
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787] hatimaye wamegongwa
Unasemaje [emoji848][emoji847][emoji1787][emoji1787]
Inauma kuona Mpinzani wako anaupiga Mpira mtamu We acha tu [emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£π€£ kanikera hujui tyuuu udugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unafika mbalii sanaa, au ungeshikilia miguu kabisaa?
[emoji23][emoji119]MAMELOD mnazingua kinoma
Muda Kuna Mmoja Anasema Ameumia Sana Namwambia Utapata Pressure BureNakwambia bro,hii game dunia na Africa imeona.
Yanga alistahili,sio tu goli kuna mambo kibao Mamelody kabebwa.
Sitakaa nitizame CAFCL kaamwee.
Kaaa mbali ntakupiga makwenzi nna hasira za kuonewa πππππ
Kwanini hayo majini yasingekuwepo uwanjani ya kawasaidia kufunga magoli. Ingekuwa 5-0ππππ.Huyo refa leo tutamtumia majini π€£π€£π€£π€£
Hadi hapa Yanga nimewashukuru mmefanya vizuri sana bila kujali kama mtatoka au mtasonga mbele. Mmeonyesha ukomavu mkubwa sana.
Umeongea kimpira mkuu, huo ndio ushabiki.Mtani umefanyiwa ujambazi ila ndio mambo ya mpira hiyo timu ya rais CAF
Pole mkuu ndio mpira wetu wa afrikaNakwambia bro,hii game dunia na Africa imeona.
Yanga alistahili,sio tu goli kuna mambo kibao Mamelody kabebwa.
Sitakaa nitizame CAFCL kaamwee.
Hata ukioneshwa, wewe ndio mtoa maamuzi!? Wewe ni match official!?VAR zote. Huwa runaonyeshwa real view ya footage kuonyesha mpira kama ulikuwa ndani wote au nusu au robo tatu. Mbona hii ya Sundown anaangalia refa tu hata sisi wadau hatuonyeshwi?