FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Bado Nafasi Ipo 2025
Kipindi Simba anacheza Champion League na Yanga anacheza Confederation.
Yanga anamaliza mshindi wa pili Confederation anakuja kumtambia Simba aliyeishia robo fainail champion league halafu wanajiona kidume kucheza ligi ya watoto shirikisho😁😁😁😁
Inakuaje una medali za shirikisho halafu mamelod hana halafu anakutoa champion league?😁😁😁
 
Kaaa mbali ntakupiga makwenzi nna hasira za kuonewa 😂😂😂😂😂
20240405_234515.jpg

ntakuitia huyo
 
Na kuhusu lile goli wala msilalamike.goal line technology inasema.mpira unatakiwa uingie wote bila kugusa mstari.pale kwa kamera za azam kwa kuwa zipo katikati. Zinaonesha mpira upo ndani.ila var imeona mpira umegusa mstari.yote kwa yote.KARMA IS REAL. What goes around comes around. Usiku mwema
 
VAR zote. Huwa runaonyeshwa real view ya footage kuonyesha mpira kama ulikuwa ndani wote au nusu au robo tatu. Mbona hii ya Sundown anaangalia refa tu hata sisi wadau hatuonyeshwi?
Hata ukioneshwa, wewe ndio mtoa maamuzi!? Wewe ni match official!?
 
Back
Top Bottom