pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Pengo ni la Pacome tuNikiwa kama mwana Yanga, kuwakosa hao wachezaji watatu tena leo ugenini kwakweli sina amani kabisa.
Hao wengine hakuna athari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo ni la Pacome tuNikiwa kama mwana Yanga, kuwakosa hao wachezaji watatu tena leo ugenini kwakweli sina amani kabisa.
Sio nyepesi kama unavyodhaniHii game ni nyepesi kwa mamelod
Ila simba leo ndio mnatia aibu taifa kwa mara ya pili udugu 😂😂😂😂😂Tunaanza hapa kwani kutazama, afu tunaenda kule kwingine.
Leo ni bandika bandua, bampa to bampa, hakuna kulala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila Pacome na Aucho yanga iko rehani!Hiki kikosi ni Mungu tu!
Jamanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na maana gani aucho, pacome kwenda South Africa? Na mnawapost kabisa wakiwa mazoezini...mwisho wa siku mnaleta kikosi cha kina gwede gwede
Ole wako ukimbie hapa baadae😀😀😀 amka ndugu kumekucha
Hiii ni master piece,gamond ni bonge la kocha...huyu mu Argentina anatoa Radha zote yaani musonda atatutanguliza wananchi,guede atafanya mabeki wasipande then goli la pili max nzegeli anatupia tunafungua hesabu
kwani first leg kilicheza kikosi kipi wiki iliyopita mmeimba mapambio kwa kikosi hichi hichi leo tena imekuajeKwa kosi hili tutatoboa kweli...?
Nakubaliiii mtaniii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiii ni master piece,gamond ni bonge la kocha...huyu mu Argentina anatoa Radha zote yaani musonda atatutanguliza wananchi,guede atafanya mabeki wasipande then goli la pili max nzegeli anatupia tunafungua hesabu
Uduguu mbona yanakutoka sana maneno? Na mpira bado hata wachezaji nyasi za uwanja hawajagusa.Ila simba leo ndio mnatia aibu taifa kwa mara ya pili udugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaishi humu 😁😁Wandewa ndo tunaingia kwenye uzi