FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Tunaanza hapa kwani kutazama, afu tunaenda kule kwingine.
Leo ni bandika bandua, bampa to bampa, hakuna kulala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila simba leo ndio mnatia aibu taifa kwa mara ya pili udugu 😂😂😂😂😂
 
Hii picha imepigwa saa 5 usiku
IMG_0332.jpeg
 
Hiii ni master piece,gamond ni bonge la kocha...huyu mu Argentina anatoa Radha zote yaani musonda atatutanguliza wananchi,guede atafanya mabeki wasipande then goli la pili max nzegeli anatupia tunafungua hesabu
Kwa kosi hili tutatoboa kweli...?
kwani first leg kilicheza kikosi kipi wiki iliyopita mmeimba mapambio kwa kikosi hichi hichi leo tena imekuaje
 
Hiii ni master piece,gamond ni bonge la kocha...huyu mu Argentina anatoa Radha zote yaani musonda atatutanguliza wananchi,guede atafanya mabeki wasipande then goli la pili max nzegeli anatupia tunafungua hesabu
Nakubaliiii mtaniii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli tumeenda kushiriki sio kushindana. Kwa kikosi hiki Mungu aingilie kati tu. Nyumbani tulifanikiwa kuzuia tu kwa kikosi hiki ugenini ni kujitahidi kupunguza idadi ya magoli tu.
 
Ila simba leo ndio mnatia aibu taifa kwa mara ya pili udugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu mbona yanakutoka sana maneno? Na mpira bado hata wachezaji nyasi za uwanja hawajagusa.

Tuwe buzzy hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadae tuhamie huko unapopatakaa, ufurahi na roho yako, woiiiiih
 
Back
Top Bottom