Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaconfidence ya kocha kama huyu ndio inanifanya niamini Yanga tunabeba hili kombe.
Ila kikosi cha Yanga leo nachekea kitchen 🤣🤣🤣🤣Uduguu mbona yanakutoka sana maneno? Na mpira bado hata wachezaji nyasi za uwanja hawajagusa.
Tuwe buzzy hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadae tuhamie huko unapopatakaa, ufurahi na roho yako, woiiiiih
Tuliza presha, dkk 90 zitaamua nn kiwepo.Ila Yanga leo tia maji tia maji Gamondi kawaweza mashabiki
Ila Dstv huu ndo muda wa tech difficult 😏😏😏😏 hii mechi azam wanaonesha?? Channel gani?
Angalia channel ya majizzoDstv wanaonyesha chanel gani??
Usigune mtani mnashinda goli saba bilaMmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi humu ndani kuna watu wanafanya kazi sekta ya afya kweli..!? Mbona wanetu hamjui hata kufariji..??[emoji23][emoji23][emoji119]