FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Hadi hapa Yanga nimewashukuru mmefanya vizuri sana bila kujali kama mtatoka au mtasonga mbele. Mmeonyesha ukomavu mkubwa sana.
 
Na msipo pata goal basi sahauni ata kwenye penalty kwanza amjafa kiume .

Kufikia sasa mme kosa kombe la
Ball possession trophy
Kufa kiume trophy
 
Var Wana option ya kurudia kujiridhisha, kweli hawaoni?
Refa anaamua kwenda au asiende, na hata akiona bado anaweza amua yeye nini kiwepo.

Ile ya lomalisa ilikua straight Red card, mbona hakumpa, na kwenye VAR alienda kutazama.
 
Back
Top Bottom