Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hii mechi imeniumiza sana imeingia kwenye list ya mechi zilizowahi kunigusa nikagusika.Tangulia kwenye crying room ila usifunge mlango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi imeniumiza sana imeingia kwenye list ya mechi zilizowahi kunigusa nikagusika.Tangulia kwenye crying room ila usifunge mlango
Mie nipoo hapa, afu mbona ulipotea.?Nimekumic sana
Katukosea sana, kampiga mbuzi kagoma mpk katufungisha 🤣🤣🤣🤣We unafikiri Yule Caren Simba Mchezo Mzigo umejaa ye anajua anaukomoa kumbe anajikomoa 🤣🤣 🤣
Wenzenu walituma na ya kutolea.[emoji1]Nasimama na mgoli wa azizi ki uliokataliwa
kufa kiume 😂😂Nasimama na mgoli wa azizi ki uliokataliwa
Samahani shem hasira 😂😂😂😂Jamani Shem. Tuko mwezi wa faraq
Achana na penalty, siwadai chochote kwenye penalty huwa ni bahati tu.lomalisa hajapiga penalty
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mwili umekufa ganzi kwa haya matokeo ila ndio hivyo hakuna namna, Najikaza kiume maisha lazima yaendelee[emoji1666]Asanteni Yanga[emoji120]
Majukumu yalinibana sana ila kikubwa ni uzima tuMie nipoo hapa, afu mbona ulipotea.?
Nenda kwa Mwamposa jpili kuna wapokeaji wengi 🤣🤣🤣uje unisaidie nimpokee peke yangu sitaweza
😂😂😂😂Samahani shem hasira 😂😂😂😂