FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Kipindi Simba anacheza Champion League na Yanga anacheza Confederation.
Yanga anamaliza mshindi wa pili Confederation anakuja kumtambia Simba aliyeishia robo fainail champion league halafu wanajiona kidume kucheza ligi ya watoto shirikisho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Inakuaje una medali za shirikisho halafu mamelod hana halafu anakutoa champion league?[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe sasa ndio kati ya wale mbumbumbu alio wasema Rage.
 
Kama umefuatilia maamuzi ya kubumba yaliyohusisha VAR utaona mengi yaliyotolewa bila refa kwenda kwenye screen kujiridhisha.

Ukiona tu anawasiliana na microphone ujue hapo baasi kuna ujanja ujanja unafanyika.

Kuna uwezekano hata ile microphone hayakuwa mazungumzo kati ya VAR control room sometimes inaweza kuwa ni tajiri anamuambia refa peta hilo goli kuna hela yako huku nje.
Makolokolo wenye uelewa wa mpira TZ.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
IMG-20240405-WA0057.jpg
 
Kipindi Simba anacheza Champion League na Yanga anacheza Confederation.
Yanga anamaliza mshindi wa pili Confederation anakuja kumtambia Simba aliyeishia robo fainail champion league halafu wanajiona kidume kucheza ligi ya watoto shirikisho😁😁😁😁
Inakuaje una medali za shirikisho halafu mamelod hana halafu anakutoa champion league?😁😁😁
Hiyo shirikisho hujawahi kucheza? Umeisha hatua gani?.
 
Na kuhusu lile goli wala msilalamike.goal line technology inasema.mpira unatakiwa uingie wote bila kugusa mstari.pale kwa kamera za azam kwa kuwa zipo katikati. Zinaonesha mpira upo ndani.ila var imeona mpira umegusa mstari.yote kwa yote.KARMA IS REAL. What goes around comes around. Usiku mwema
Usitudanganye bhana nani asiyejua hiyo tech?
Goal line tech inaeleza asilimia 80 ya circumference ya mpira ikivuka goal line hilo ni goli.
WEWE MPAKA KIVULI CHA MPIRA KILIKUA NDANI UTASEMAJE SIO GOLI!?
Refa foul alikua akienda kutizama video zake mbona goli hakuenda tizama aamue!?
 
Back
Top Bottom