BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Wakuu jana tumenyimwa goli la wazi, nimeumia ila ndo hivo hua inatokea ila kingine kilichonishangaza mbona baada ya mpira kutoka golini mwa Mamelodi ukapigwa kichwa na mchezaji wa mamelodi ukatoka nje mbona haikutengwa kona?