Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wako Mbali sanaKipindi hicho Yanga alikuwa wapi?
Unapokuja kuzungumzia shirikisho yenu ya medali, Simba hakucheza shirikisho.😁😁😁
Ni sawa na wanafunzi wawili, mwaka 2022 walifanya mtihani wa darasa la 4 kuingia darasa la 5. Mmoja akafaulu na mwingine akafeli. 2023, Mmoja aliyeingia darasa 5 (Simba) akafanya mtihani akawa wa 4 na aliyebaki darasa la 4 (Yanga) akafanya mtihani akawa wa 2, sasa wa darasa la 4 aliyefeli kuingia darasa la 5, anamtambia wa darasa la 5 kuwa yeye amekuwa pili na kipindi hicho alisoma darasa la 4 hakuwahi kuwa wa 2 darasa la 4).
Ndicho unachozungumzia
MKuu ili liwe goli lazima mpira ukaguse nyavu na zichanike vinginevyo tusimsumbue refa...Kwa goal line tech ni lazima mpira uvuke 100% ndio liwe goal sio 80%
Huyo jamaa anaongea ufala.Refa alikosea sana
Basi sawa, kuna keshoLakini tukumbuke Timu za ligi kuu Nbc zinapelekeshwa na hizi timu Mbili nchini.
Dhulma karibia killa mechi wamesahau na hadi kudhulumiana wao kwa wao.
Yakiwakuta huko kelele nyiingi. Acheni huku na kwingine haki itapatikana.
Goli au sio goli angle za Camera zipo hovyo huwezi amua 100%, isipokuwa namuunga mkono kocha wa Yanga kwa nini refa hajaenda kuangalia VAR?
PIli Yanga nao maamuzi mawili yamewabeba, Refa kapeta. Lakini timu bora imevuka, hata Goli la Al Ahly la Penalt la pili sio hali dhidi ya Simba, pale waligongana.
Maliza mechi kwa Mkapa. Usisubiri uvuke au usivuke ndio utaiweza Caf Champiions league.
Zina wenyewe, na wenyewe ni Mamelodi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penalty huwa hazina wenyewe
Sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Yanga, ni litimu likuuubwa hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wametisha sana kwa kweli!!
Ukweli ndiyo huo hata kama ni ngumu kumeza.Hebu sema kweli mtani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umeonesha rangi halisi ya u-Yuda Iskariote(unafki) kuwa furaha yako Yanga katolewa hata kama kaonewa maana Dar ingekuwa Jehanamu kwa Makolokolo [emoji38]Jambo la msingi na la muhimu ni Yanga kutolewa......hayo mengine ni upuuzi........mji ungekuwa mgumu sana huu.......dah!!
Nasisitizia [emoji375]Kila mwenye akili timamu amejionea uonevu kwa timu za Tanzania,,, yanga kanyimwa clear goal, lakini pia Simba kanyimwa clear penalty ya kibu d.
Kinachowezekana kufanywa Africa kihalali ni ngono tu huku kwingine kote zero kabisa