Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumewapelekea pumzi ya motoIle mechi mamelodi hawatokuja isahau
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimelia kwako pekee, poleeeeSawa tu ila chuma kimelia hata kama wamekataa
Sawa tu, hata mioyoni mwao kimelia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kimelia kwako pekee, poleeee
Kuvuka 100% kunaangaliwa kiwango gani cha mstari??
Mpira ukiwa umegusa ndani zaidi ya 80% ya mstari mkuu ushaingia ndani huo.
Kwani goli la Messi world cup liliamuliwajwe??
Tizama hiyo picha ni demo ya FIFA tizama na hiyo video je haikustahili kuwa goli??
Basi tuseme sawa uvuke 100%,tizama demo ya Fifa na hivyo video uvukaji wa mpira umetofautiana wapi??
Sema Yanga ndiyo mjikite kwenye ngono kwani mamelodi ni wazungu?🤣🤣🤣🤣 Waafrika tujikite kwenye ngono tuu huko kwengine tunaforce mambo
point yako ni ipi?Kipindi hicho Yanga alikuwa ametolewa shirikisho?
1. Kipindi Simba anacheza shirikisho mpaka robo fainali Yanga alikuwa ametolewa kitambo sana
2. Kipindi Simba anacheza Champion League mpk robo fainal, Yanga anacheza shirikisho.
Sijui unazungumzia shirikisho au champion?
Sasa nilicho ongea uongo ni kipii? Km kweli Yanga walistahili kushinda hii match, si penalt zilipigwa walishindwa vipii?Ukiwa unachambua mpira weka ushabiki pembeni, sema uhalisia vinginevyo hakuna unachokifanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa tu, hata mioyoni mwao kimelia