FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Kuvuka 100% kunaangaliwa kiwango gani cha mstari??
Mpira ukiwa umegusa ndani zaidi ya 80% ya mstari mkuu ushaingia ndani huo.
Kwani goli la Messi world cup liliamuliwajwe??
Tizama hiyo picha ni demo ya FIFA tizama na hiyo video je haikustahili kuwa goli??
Basi tuseme sawa uvuke 100%,tizama demo ya Fifa na hivyo video uvukaji wa mpira umetofautiana wapi??
Screenshot_20240406-091527~2.png

SABC walishachora kabisa Ubao.
 
Yani wenzio wanaongelea kipigo cha 2-0 wewe umekaza shingo na Aziz ki
 
Kipindi hicho Yanga alikuwa ametolewa shirikisho?
1. Kipindi Simba anacheza shirikisho mpaka robo fainali Yanga alikuwa ametolewa kitambo sana
2. Kipindi Simba anacheza Champion League mpk robo fainal, Yanga anacheza shirikisho.
Sijui unazungumzia shirikisho au champion?
point yako ni ipi?
 
Back
Top Bottom