FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Mbona hujatuambia galant hajapoteza mchezo wowote wa ligi ya CAF shirikisho msimu huu nyumbani? 🀣🀣🀣🀣
 
Ni siku ambayo hakuna alieifahamu lkn ilisubiliwa miaka na miaka tangu kuumbwa kwa dunia.

Ni siku ambayo kila Mtanzania ngependa iwe upande wetu. Ni siku ya kipekee ambayo haitakiwi kupotezwa.

Eeh Mwenyezi Mungu ijaalie Young Africans SC iweze kupata ushindi siku hii ya leo nyoyo na nafsi zetu viweze kufurahi. Eeh Mungu ibariki Young Africans SC. Ikawe siku njema tupate ushindi inshallah. πŸ’š πŸ’š πŸ’› πŸ’› @yangasc1935 #DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Natamani wabondwe huko mpaka engineer na Gsm wapoteane huko south mana wanavihelehele Sana...Sasa kilichowapeleka huko wote hao nini? Pamoja na Simba kucheza club bingwa sikuona Mo anaenda Morocco ila hawa sasa du, kweli maskini akipata matako hayaachi kugongana!
 
Eenhee! Wanasemaga usiku wa deni haukawii kukucha na kwetu sisi Timu ya Wananchi ndo tulikuwa tunataka ifike tupate kumalizana na hizi dakika 90 zilizosalia.

Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuweka historia ingine.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Ntakucheck baada ya mechi nikupe pole 🀣🐸🐸
 
Mtarudi mkiimba [emoji441][emoji443][emoji446] amerudi analia eeehx2
......huruma anatia huruma[emoji450]πŸͺ•[emoji447][emoji448][emoji449]πŸͺ˜πŸͺ—

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mlirudi mna hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…