Kama huipendi Yanga kinyonge Kwa kamba [emoji28]Hebu ona aibu, ili muwe Bingwa wa Africa mkacheze kwanza na akina Mamelodi, Al Ahly, Zamalek, Wydad Casablanca, na miamba mingine, acheni kujifariji
We fwala kweri kweri, nasema uwongo Ndugu yangu [emoji848] [emoji1]HATUDAIANI FC hali yetu mbaya
HaijalishiGame imeishaje?
Kichaka cha timu ya 9 kwenye timu kumi bora za Africa, ilihali YANGA ni ya 31 kiviwango.Vichaka vya kujificha wale jamaa vimefyekwa vyote sijui watajificha kwenye kichaka kipi tena🟡🟢
Mayele anafilisi tu kibubu cha Mama yetu daaah [emoji849][emoji2960]Kukumbushana tu tuna Milioni 20 toka kwa Mkuu wa Nchi. [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Mungu saidia Yanga tusife 2 huko.
Yan tusitolewe.Tumeisubiri fursa hii toka kuumbwa kwa dunia
Kumbe fainal sio mechi moja tuFainali Yanga anaanzia nyumbani na anamalizia Ugenini.
Ni mechi 2Kumbe fainal sio mechi moja tu
Mtake msitake sisi ndo mabingwa wa hili baraHebu ona aibu, ili muwe Bingwa wa Africa mkacheze kwanza na akina Mamelodi, Al Ahly, Zamalek, Wydad Casablanca, na miamba mingine, acheni kujifariji
Hiv na Uefa au Europa ndio inakua hivi????Ni mechi 2
Ni Mungu tu anatuongozaUto walishindwaje kubaki CAF Champion wakaangukia shirikisho.
Sawa asanteIla mpunguze mdomo mnakutana na asec mimosa fainali huwa hawapendi kelele. Mi tahadhari tu nawapa.