Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Ila mpunguze mdomo mnakutana na asec mimosa fainali huwa hawapendi kelele. Mi tahadhari tu nawapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Simba yetu ingekua away tunacheza hivi nakuambia tungekua nusu fainali champions league.Hii ilikuwa wazi. Yanga kwenda fainali.
Tunaoteseka ni sisi Simba na Leah wetu.
Tutawasimangaaa[emoji23][emoji23]Yanga wanafanya maajabu. Simba kazi tunayo mpaka huu msimu uishe tutakoma.[emoji1787]
Kabisaaukipangwa na kibonde ni ww tuu ujiamulie
Yani mshuka daraja atufumge mabingwa
Simba tutateseka sn sn sn, lkn ndo vzr ili viongoz na muwekezaji wapate hasira msimu huu wasajili kweli kweli na sio magumashi.Hii ilikuwa wazi. Yanga kwenda fainali.
Tunaoteseka ni sisi Simba na Leah wetu.
Simba nguvu nyingi anawekeza nyumbani hata ile mechi ya kaizer mngeenda kwa kuwaheshimu msingefungwa goal 4 mngafungwa hata 1 au 2 alafu huku nyumbani mngewatandika 3Aisee asiyekubali kushindwa si mshindan nime hands up. Watani mmetisha.
Kwa Yanga hii na hakika wangeifunga Orlando ile mechi Simba tumecheza nao.
Yanga anacheza away kama yuko nyumbani. Simba tuna cha kujifunza. Away tunakua kama tuna mzigo wa nnya kwenye bukta. Rekodi zetu za away ni ushuzi mtupu.
Inawezekana mkuu may=pMna uhakika huyu Mayele siyo Pele?
NotedMarumo hawana kipa….yanga tumemsoma anatema mipira hvyo tukimpa tunajua lazima ataturudishia tu
Kwa kweeli. 🤣🤣🤣Sio uchawi like lilikua kombe Lao [emoji16][emoji28]
Correctly observedSimba nguvu nyingi anawekeza nyumbani hata ile mechi ya kaizer mngeenda kwa kuwaheshimu msingefungwa goal 4 mngafungwa hata 1 au 2 alafu huku nyumbani mngewatandika 3