FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Marumo
Screenshot_2023-05-17-19-53-04-92_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2023-05-17-19-53-04-92_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg
    Screenshot_2023-05-17-19-53-04-92_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg
    42.9 KB · Views: 1
Nikona limtu linashabikia yanga automatically najua kbs akili halina
 
Aisee asiyekubali kushindwa si mshindan nime hands up. Watani mmetisha.
Kwa Yanga hii na hakika wangeifunga Orlando ile mechi Simba tumecheza nao.
Yanga anacheza away kama yuko nyumbani. Simba tuna cha kujifunza. Away tunakua kama tuna mzigo wa nnya kwenye bukta. Rekodi zetu za away ni ushuzi mtupu.
Simba nguvu nyingi anawekeza nyumbani hata ile mechi ya kaizer mngeenda kwa kuwaheshimu msingefungwa goal 4 mngafungwa hata 1 au 2 alafu huku nyumbani mngewatandika 3
 
Back
Top Bottom