FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Mbona huleti updates za mechi?
huyu alikuwa na kiherehere tu chakuwa wakwanza kufungua uzi hajui ni dhamana yenye kazi!, hajaweka hata kikosi uzi anajisifia yeye kuwa wakwanza kufungua! watu wengine vichekesho tupu!..
 
Kaitumia vizuri akili ya 🐸🐸
 
huyu alikuwa na kiherehere tu chakuwa wakwanza kufungua uzi hajui ni dhamana yenye kazi!, hajaweka hata kikosi uzi anajisifia yeye kuwa wakwanza kufungua! watu wengine vichekesho tupu!..
Kazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…