Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
Atasema zaidi tusi msemee yoteKumbe Kichuguu ni wale akina pangu pakavu tia mchuzi 😂
Wazee watamudu kucheza usiku au watasinzia uwanjani?Nini kifanyike kipindi cha pili. Naona wazee wamekata pumzi kabisa. Au wakokewe moto
Tuupate wapi? Ila tutashinda tu hivyo hivyo...mbona uzi umepoa huu vp hamna uhakika?
Koma wee!!Uto leo anakufa
4 usikuKwani game saa ngapi
Haiwezekani!Kwani wewe sio Amphibia?
Hivi kibabage anafanya Nini yangaView attachment 3171554
Kibabage ni beki wa kushoto. Amekuwa anafanya makosa mara nyingi sana katika nafasi hiyo