FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Huu uzi umejaa wapiga ramli hatari.
Wapo wanataka Yanga ishinde na wapo wanawaombea mabaya Yanga...

Yanga lolote BAYA LIWAPATE. Mkipuruchuka msitupigie mikele watu tunataka usiku uwe na utulivu.
 
1733595087988.png

Kibabage ni beki wa kushoto. Amekuwa anafanya makosa mara nyingi sana katika nafasi hiyo
 
Back
Top Bottom