FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Sema watu wasahaulifu sana, mmesahau ninyi mlivyoandaaga jezi za 50 Matches Unbeaten ila Ihefu wakavuruga kila kitu, leo hii mnacheka hilo
😂😂wanajifanya hawajui.
 
Sema watu wasahaulifu sana, mmesahau ninyi mlivyoandaaga jezi za 50 Matches Unbeaten ila Ihefu wakavuruga kila kitu, leo hii mnacheka hilo
Mafi ya kale hayanuki. Halafu kwa IHEFU sisi tulitegemea matokeo ya aidha sare au tushinde. Sasa nyie akili zenu zilitaka mshinde kabisa
 
Ule ni mkakati wakudhoofisha timu.

Simba tungeachana na hii michuano tokea Nusu Fainali
Kocha wa Yanga alipoamua kutokuwa serious na haya mashindano mkamuona mjinga nyie mkawa mnapanga kikosi kazi kwaajili ya kubeba ubingwa wa Mapinduzi. Haya sasa kiko wapi?
 
Hivi nasikia Mlandege amecheza fainali kwa mara ya pili mfululizo mechi ya fainali iliyopita ya mwaka jana alicheza na nani?

Nauliza tu jamani. 😂😂
 
Wachezaji wa Simba hawachezi kwa kupambana.
Huyo mchezaji mpya ni mvivu sana, anatembea tu uwanjani kuisubiri apewe pasi ili naye apasie.

Nashanga alivyosajiriwa harakaharaka, Bora hata yule Mzimbabwe.
 
Wachezaji wa Simba hawachezi kwa kupambana.
Huyo mchezaji mpya ni mvivu sana, anatembea tu uwanjani kuisubiri apewe pasi ili naye apasie.

Nashanga alivyosajiriwa harakaharaka, Bora hata yule Mzimbabwe.
Ile ni sajili ya kitapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…