FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Unataka kusema Simba ilionekana haiwezi kupenya kwa Mlandege? Ni lazima ilizwe tu?
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.

Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
 
Hata Mie nimewaza hivyo. Wanaiachia timu kubwa ili kuleta mvuto Hadi mwisho. Shabiki WA Simba Hamna haja ya kupaniki leo mlikuwa hamchezi na Mlandege Tu.
Na lile goli la mlandege ni mchango wa marefa na maraisi eti?
 
IMG_2333.jpeg

Tanzania nzima imesononeka, jezi za ubingwa zachomwa uwanjani 🤣🤣🤣

We Mdakuzi hukununua jezi ya ubingwa kweli?
 
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.

Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
Onana nae jinga tu kakosa goli la wazi pale
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa had baas. Hili kombe kuanzia mwaka jana ni limepangwa kubaki hapo.

Hata singida walitolewa makusudi ili aingie mwingne aporwe, na mwakani itakua hvyo.
Refaa kawasaidia sana mlandege,
Leo mnakiri wenzenu walitolewa makusudi?
Mngeshinda mngesema haya?
 
Back
Top Bottom