MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kosi la Caf hilo 😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosi la Caf hilo 😄😄😄
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.Unataka kusema Simba ilionekana haiwezi kupenya kwa Mlandege? Ni lazima ilizwe tu?
Na lile goli la mlandege ni mchango wa marefa na maraisi eti?Hata Mie nimewaza hivyo. Wanaiachia timu kubwa ili kuleta mvuto Hadi mwisho. Shabiki WA Simba Hamna haja ya kupaniki leo mlikuwa hamchezi na Mlandege Tu.
Unamzungumziaje Onana NduguFull mkoko kwani keo Bocco amecheza?
😁🤣😁😁Hata mngekuwa full mngefariki tuFull mkoko kwani keo Bocco amecheza?
Utakua umechanganya madesa.[emoji3][emoji3][emoji3] Mama mchungaji umetumia kinywaji gani leo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna furaha man city kashinda.
Hongera Sana 🤭🤭🤭Poleeeeh wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣😁😁 BaelezeeUnamzungumziaje Onana Ndugu
Wamekufa kiume 🤣😂😁😁😁View attachment 2870939
Tanzania nzima imesononeka, jezi za ubingwa zachomwa uwanjani 🤣🤣🤣
We Mdakuzi hukununua jezi ya ubingwa kweli?
Onana nae jinga tu kakosa goli la wazi paleUngetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.
Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
UpGod Bless Israel
Mkuu, hii ndo timu iliyopo. Maboresho zaidi unaongelea dirisha kubwa la usajili.Dah!...bado una imani na hii timu ?.... anyway Simba inahitaji maboresho.
Leo mnakiri wenzenu walitolewa makusudi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa had baas. Hili kombe kuanzia mwaka jana ni limepangwa kubaki hapo.
Hata singida walitolewa makusudi ili aingie mwingne aporwe, na mwakani itakua hvyo.
Refaa kawasaidia sana mlandege,