FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Kumbe walijiandaa
20240113_233547.jpg
 
Ni utani tu nadhani. Kwenye fainali kila timu huandaa jezi maana ye yote anaweza kushinda.

Ila poleni [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2233][emoji2233][emoji2233]
Tushapoa mtani tutafanyaje Sasa [emoji3][emoji3]
 
Kombe la kolo msimu huu lilikuwa ni hili sasa watatoka kapa kama kwa Mkapa.
 
Mimi YANGA damu ila simba wakiona kombe lolote hawaliachi nikikumbuka tanga nalia Sana hakika Simba ni timu ya makombe onana anaenda kubeba kombe la pili afu zwazwa na Yao Yao hawana hata kombe la uji Simba mmeshindikana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Daima mbele nyuma mwiko forever
Chief kombe lipo wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom