Leo mtaambulia drawKila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💚💛
Ni wakati wenu sasa wa kurejesha furaha kwa mashabiki wenu.
They are growing, kuna mahali tunaendaMbona kinyonge hivyo 😂😂
Mpira wa bongo jau sana.
Toka Yanga wamtimue Ernest Brandts kisa Bonaza la Nani mtani jembe niliona mpira haupo serious.
Yaani hivi vilabu ni hovyo kwenye professional uswahili mwingi.
Hahah. Mshika kibendera mzuka ulimpanda akajikuta refa wa katiUtopolo mkafungue kesi kibendera aliingia uwanjani.
View: https://x.com/TrollFootball/status/1862556320261697998?t=YZzE5a-GF2qd6ggKg6e84A&s=19
Wasulubiweeeeee!Wapigwee