uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
kwani mkataba wa Aziz ukoje?Huyu kocha anapewa maelekezo. Licha ya malalamiko ya watu kwamba Aziz ki amechoka, bado kampanga na chama yuko nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani mkataba wa Aziz ukoje?Huyu kocha anapewa maelekezo. Licha ya malalamiko ya watu kwamba Aziz ki amechoka, bado kampanga na chama yuko nje.
Hachelewi kuwawekea goli la kuongoza mda huuLive ? mechi ndio inachezwa mda huu?
Naona hii mechi kila mtu ameiogopaMpumulelo ameanzia benchi bana 🤣
Oscar Seleman mtalaam wa kuleta tetesi kutoka kwenye ubongo wake bila chanzo sahihi.Naona hii mechi kila mtu ameiogopa
Naskia mdaka mishale alikuwa wakwanza kumfuata kocha akimuomba asimpange kwenye kikosi cha leo.
Yale mashuti ya mbali na zile tobo mbili zimempa wenge ameona anaweza kwenda kupokea lawama nyingine kwa makosa yaleyale.
Acha porojo mkuuNaona hii mechi kila mtu ameiogopa
Naskia mdaka mishale alikuwa wakwanza kumfuata kocha akimuomba asimpange kwenye kikosi cha leo.
Yale mashuti ya mbali na zile tobo mbili zimempa wenge ameona anaweza kwenda kupokea lawama nyingine kwa makosa yaleyale.
Porojo pro maxNaona hii mechi kila mtu ameiogopa
Naskia mdaka mishale alikuwa wakwanza kumfuata kocha akimuomba asimpange kwenye kikosi cha leo.
Yale mashuti ya mbali na zile tobo mbili zimempa wenge ameona anaweza kwenda kupokea lawama nyingine kwa makosa yaleyale.
Starlink ndo solutionsMitandao ya kibongo hovyo sana
Mimi ni Yanga lakini leo kushinda labda kushinda njaa.Yanga tumefikia Ile hatua ambayo hatujui kama tunashinda ama la
Kwa Leo nusu wanaamini ushindi robo wanaamini draw na robo nyingine kufungwa
Hali sio kabisa