FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Mpumulelo ameanzia benchi bana 🤣
Naona hii mechi kila mtu ameiogopa

Naskia mdaka mishale alikuwa wakwanza kumfuata kocha akimuomba asimpange kwenye kikosi cha leo.

Yale mashuti ya mbali na zile tobo mbili zimempa wenge ameona anaweza kwenda kupokea lawama nyingine kwa makosa yaleyale.
 
Oscar Seleman mtalaam wa kuleta tetesi kutoka kwenye ubongo wake bila chanzo sahihi.
 
Naona hii mechi kila mtu ameiogopa

Naskia mdaka mishale alikuwa wakwanza kumfuata kocha akimuomba asimpange kwenye kikosi cha leo.

Yale mashuti ya mbali na zile tobo mbili zimempa wenge ameona anaweza kwenda kupokea lawama nyingine kwa makosa yaleyale.
Acha porojo mkuu
 
Porojo pro max
 
Yanga tumefikia Ile hatua ambayo hatujui kama tunashinda ama la
Kwa Leo nusu wanaamini ushindi robo wanaamini draw na robo nyingine kufungwa
Hali sio kabisa
Mimi ni Yanga lakini leo kushinda labda kushinda njaa.
 
Back
Top Bottom