FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Namungo tu nao wamekuja kwa woga sana ila Yanga bado iko hovyo sana pasi nyingi zinapotea hususan kwa Yao na hakuna mashambulizi yeyote wanafanya
 
Pacome tu ndio ameonekana kuwa bora the rsst wanaruka ruka tu

Naye sijui kwakuwa tunasikia mkataba wake upo mwishoni.

Anajituma kuwa impress maboss na Club zingine ambazo zinaonesha nia ya kumtaka.
 
Bora aondoke tu hapo kipaji kinaweza kikafia hapo Yanga hamna kitu kabisa kufunga hawafungi hii gemu wanafungwa tena
 
Back
Top Bottom