FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Tumewakosa

Inaenda dakika ya 20 bila shots kwa namungo! Kwa uchezaji huu kuna aibu kubwa tutapa uarabun, kuja haja ya viongazi kuingilia kati, wachezaji walio off form wasipangwe!
 
Bahati kwa Yanga ni kwamba Namungo wanamipango mizuri ya kuzuia lakini hawana mipango ya kupata goli kwa counter attack

Yanga ni ama washinde kwa mbinde au draw
 
Back
Top Bottom