min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Bantu Lady yanga watashinda usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuba goli hapo hutaki kunyakimba jeusiHizi ndo Fallacy sasa nnazosema..
Ambazo hazina mahala utathibitisha..
Yanga tunahitaji. GOALS....
Kmmaae
We need a Striker..Kufunga zero Mzee Magoma akaombwe msamaha bila hivyo Yanga itaendelea kufia uwanjani
Sudi kabla ya kusinya mkataba alipaswa kumtafuta Gamondi amueleze yaliyomsibu hadi kuondoka.Hahaha kocha tumbo linaunguruma haamini anachokiona uwanjani Yanga kufunga zero hawafungi wamefungwa miguu, watu watalamba ndimu na leo
Half Time 0-0We need a Striker..
😂😂😂😂Forward za Yanga zimejaa kwenye box la Namungo lakini wameshindwa kufunga.
Kweli panya wengi hawachimbi shimo
Pombe gani inatoa kimba nyeusi...!??Hakuba goli hapo hutaki kunyakimba jeusi
Mimi huwa nawaombea heri Yanga kwenye michezo ya Kimataifa tu. Ila kwa huku ndani hapana. Mwendelee kufungwa na kutoa sare. ili Mnyama achukue ndoo mwaka huu.Kila la kheri dar young Africans 💚💚
Atakodishiwa Bajaj sio bodaboda imuwahishe kwaoSudi kabla ya kusinya mkataba alipaswa kumtafuta Gamondi amueleze yaliyomsibu hadi kuondoka.
Sudi kama anafikiria atakuwa mwana mageuzi wa kutengeneza historia mpya basi ajitafakari upya.
Mechi ikiisha Yanga hajashunda atakuta ameletewa mabegi yake hapa hapa Lindi.
Ukiwa yanga huwezi ona upande wangu kama ambavyo mimi siwezi kuona upande wa mhasimu wangu.Hizi ndo Fallacy sasa nnazosema..
Ambazo hazina mahala utathibitisha..
Yanga tunahitaji. GOALS....
Kmmaae
Cross ndefu iliyokosa mmaliziajiWametengeneza vipi hapo sasa cross ndefu hivyo?
😂😂😂😂Bantu Lady yanga watashinda usijali
Yanga wanacheza kama bata mwenye mimba anayeharisha.🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
View attachment 3165739
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
View attachment 3165883
Tukutane hapa kwa Updates...
Updates...
18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa .
Umiliki ni 50x50
Dakika 2'
Yanga wanapata kona, anaipiga Aziz K inaokolewa na mabeki wa Namungo FC
0-0
Dakika 5
Yanga wanapata free kick inapigwa haileti shida.
Dakika 10
Kibabage anashindwa kumwaga maji hapa.
Anaingia hadi 18 lakini pasi yake inakuwa Mkaa
Game on.
0-0
Dakika 12
Yanga wanapata kona inapigwa haraka haraka inaishia kwenye mikono ya kipa wa Namungo.
Game On
0-0
Dakika 15
Namungo wanatengeneza shambulizi moja zuri.
Inapigwa inatoka nje, inakuwa off target.
Mchezo unaendelea
0-0
Dakika 17
Yanga wanapata tena kona hapa.
Anaanza Aziz kona fupi, bado haizai matunda.
Ball On
0-0
Dakika 20.
Yanga wanapata kona inapigwa inaokolewa vizuri kabisa na Namungo
0-0
Dakika 22,
Yanga wanafanya shambulizi kali hapa.
Kakolanya anaitoa
0-0
Dakika 28
Yanga wanapata faulo nje kidogo ya 18.
Anaipiga Aziz
Inakuwa kona, imeanza haraka haraka.
Haijazaa matunda
Mpira unaendelea, Yanga wanafanya shambulizi hafifu, Anaokoa kipa wa Namungo
0-0
Dakika 30
Mligo wa Namungo anapata kadi ya Njano baada ya kimchezea rafu Yao Kwasi
0-0
Dakika 33
Namungo wanafanya shambulizi hatari kwenye lango la Yanga, halifanikiwi waapoteza mpira.
Ni nafasi ya wazi kabisa kwa Namungo.
0-0
Dakika 42
Aziziiiiiiii, inagonga mwamba hapa inatoka nje.
Aziz K anakosa nafasi ya wazi hapa.
0-0
Dakika 45.
Nyongeza ni 3.
Game On
0-0
Umekunya pombe gani mpaka muda huu?Pombe gani inatoa kimba nyeusi...!??