FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Holoholo umeamua kuwa mnyama?

Karibu unyamani huku hakunaga cha kuhonga kina Kayoko
ukifuatili uzi wangu tu unagundua kuwa nimeisemea vibaya simba. Eti,mabingwa watetezi wa kombe la mapinduzi,na adui muombee njaa hapo nitakuwa nimehamia SIMBA?
 
HAYA SIMU ZIITE WALIONUNA MOYO UPATE MOTO WAWATAFUTE WENYEWE NA WAFANYE VILE WEWE UNATAKA CHEMSHA MAJI YACHEMKEE CHUKUA KARATASI ANDIKA JINA LA MTU UNAETAKA AKUTAFUTE MARA SABA KWENYE KARATASI, LIWEKE NDANI YA HIYO SUFURIA WEKA SUKARI VIJIKO VITATU KULETA RADHA YA UPENDO WEKA MDALASINI KUMVUTA MOYO KOROGA NA KIJIKO HUKU UNATAJA JINA LAKE MARASABA, IPUA HAYO MAJI KAOGEE ATAKUTAFUTAA MWENYEWE KAMA JINA LAKE LINAVYOCHEMKA
NA MOYO WAKE UNAPATA MOTO JUU YAKOO ATAPIGAA TUU NA
OUT ATAKUTOA TU
FANYA HIVYO SIKU TATU MFULULIZO
ANGALIZO MFANYIE MTU UNAEMPENDA NA ANA HERA AKUTAFUTEE, KAMA UMPENDI NA HANA HERA BORA UCHEMSHE HAYO MAJI UMVIZIE ANAPITA UMWAGIE TAKONI TAKOO LIUMUKEEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

By Dr dogoli kinyamkela β˜ οΈπŸ’€πŸ”₯πŸ”₯
 
Naamini Sana braza mchawi zile njia zote zimezaa matunda kabisa
 
GSM kama mdhamini hawezi kukubali hilo litokee kabisa ndio maana amewaahidi milioni 50 iwapo wataifunga Simba
 

Attachments

  • Screenshot_20250219-104542.png
    936.3 KB · Views: 2
Mechi safi isiyokuwa na viashiria vya rushwa wala upangaji wa matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…