FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Tumebishana sana jana baadae ikabidi nikae tu kimya maana kila mtu akawa ananishambulia Mimi nikajiuliza tu swali mbona ni rahisi tu kujua ratiba kupitia Instagram pages za Azam Tv, timu husika na hata bodi ya ligi, kwanini mtu anakua na haraka ya kuja kupost bila kujirudhisha kwanza?!, Hilo nalo hadi tusubiri wachambuzi kweli?!...end of the day uzi wa hiyo mechi ukafutwa nadhani walijua kuna kitu hakipo sawa
Mashabiki wengi hawajui hats kujiungs bando
 
Namungo walikuja na plan ya kuumizwa wachezaji wa Simba ili kuwe na majeruhi mechi zinazokuja,uzuri refa alitembeza kadi wakawa wapole
 
Katumia kanuni zoteee vzr hakutaka unafiki..mtu anacheza faulo badala atoe tuta anaona aibu lol..leo kadi zimetumika vzr...
Kama walimtuma abalance shobo hilo watajijua wenyewe..
Ila ile ya kwao na Sbs haitakaaa ifutike...leo timu zote zilikua full mkoko first eleven...
 
Anafaa achezeshe tar 08/03
Ule ujinga wa fouls zinafanywa hakuna kadi na matuta yasijirudie, mechi iliyopita na utopolo kina Kagoma na Hamza walichezewa rafu na kutoka uwanjani ila hamna kadi iliyotoka na penati mbili zikanyimwa
 
Back
Top Bottom