chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Salamaa za miakaa.Mie nakusalimia tu Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamaa za miakaa.Mie nakusalimia tu Mkuu.
Mashabiki wengi hawajui hats kujiungs bandoTumebishana sana jana baadae ikabidi nikae tu kimya maana kila mtu akawa ananishambulia Mimi nikajiuliza tu swali mbona ni rahisi tu kujua ratiba kupitia Instagram pages za Azam Tv, timu husika na hata bodi ya ligi, kwanini mtu anakua na haraka ya kuja kupost bila kujirudhisha kwanza?!, Hilo nalo hadi tusubiri wachambuzi kweli?!...end of the day uzi wa hiyo mechi ukafutwa nadhani walijua kuna kitu hakipo sawa
Acha ufala.Magoli ya kulazimishia, Dah huu Mpira wa Makolo ni wa kubebwa bebwa sana ila timu haina uwezo
Kanunue kamba kwa Mangi halafu utajua la kufanya.Magoli ya kulazimishia, Dah huu Mpira wa Makolo ni wa kubebwa bebwa sana ila timu haina uwezo
Unadhani kaanza juzi?Sio wa 3 mwanetu 😀
Ndo muwaambie wakicheza na Simba wacheze kistaarabu bila kufanya makosa yanayoweza kupelekea penalty. Mlitaka refa afunike penalties halali?Haya hayakuhusu
mkuu ile kadi vipiNdo muwaambie wakicheza na Simba wacheze kistaarabu bila kufanya makosa yanayoweza kupelekea penalty. Mlitaka refa afunike penalties halali?
Tungeshinda tu,Simba timu kubwaBila kadi hakuna ushindi
Naona umeona eee kwa kasi hii ya Simba mtapigwa sana penalty...lazima.mcheze faulo tuu...Kweli ni "lazima"
Tungeshinda tu,Simba timu kubwa
Kama huamini tusubiri tar 08/03 ila tupeane ahadiAah wapi
Kama huamini tusubiri tar 08/03 ila tupeane ahadi
Anafaa achezeshe tar 08/03Katumia kanuni zoteee vzr hakutaka unafiki..mtu anacheza faulo badala atoe tuta anaona aibu lol..leo kadi zimetumika vzr...
Kama walimtuma abalance shobo hilo watajijua wenyewe..
Ila ile ya kwao na Sbs haitakaaa ifutike...leo timu zote zilikua full mkoko first eleven...
We tupeane ahadi nikupe nini na ww unipe nini,kocha mtamfukuza wenu.Hio tarehe msije fukuza kocha