Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Huwezi kuelewa madam hujacheza futibo dadaake.Vipi amekataa kupokea mlungula wa Mo!?
Sijaelewa kama wachezaji wa Simba wana nini leo, hii sio performance yao.
Robo Kilo FC, Kula chuma hiko!Acha uzwazwa
Kuna watu watasema wazawa wanabaniwa.Kocha unaandika magarasa ya kuacha? TFF waongeze wageni wa kusajili hata 20. Tunataka burudani
Kwa vipaji vipi? Wapo humo kina Nyoni, Kapama, Mkude, Gadiel wanaruka ruka tuKuna watu watasema wazawa wanabaniwa.
Yani kama hawapo vileeWatu wanuna humu leo