FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Mkuu mahaba ya refa yalikuwa wazi mno sema vile kuwazuia yanga ni Kazi sana
Makosa ya marefa kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana na ningumu sana kupata utatuzi wake….

Timu yetu inatakiwa kutumia vizuri nafasi tunazozipata katika mechi husika. Naona kumekuwa na uzembe wa kutumia nafasi toka game ya Ngao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…