Bado kuna watu watanuna [emoji2957][emoji1787][emoji1787]Tufute lile la kipa Tuseme ni 3 [emoji1787]
Ndiyo mechi zake anazoweza kutamba hizo..Gooooaaaaaaal
Aziz Ki
Dakika 14' kipindi Cha pili
Yanga 2-0 KMC
GooooaaaaaaalNdiyo mechi zake anazoweza kutamba hizo..
Yanga balaa mtani mtakubali Tu [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]La tanooo.
KMc wehu sana
Umeanza fujo?Tulia we Mrembo wa Makolo
Wasamehe [emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Tuseme ni 4 Tuondoe la kipa kudak ndan?
Prediction
Young Africans 5 - 0 KMC