FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Yanga ndio bingwa wa muda wote mara 29, makolo mara 22, Yanga ndio club ya kwanza kuanzishwa baadae ikaja Simba. Alianza kuumbwa Mwanaume baadae mwanamke.

Madam kolo na wenzake wanasaidiwa na feminists kujitutumua ili waonekane nao wanaume kumbe wapi. Madam kolo na wenzake wote poleni
 
Na nyie acheni mdomo yani kwa hizi 5 mnachoongaaa...mbona sisi kufunga hizo kawaida sana? Yani sio habari kwa Simba..mmeshaanza wakati tunasuka kikosi tulieni tujue mlisuka au kusokota....ndo kwanza mechi ya kwanza keleleeee keleee kibaooo...
Hujui mpira ila ngoja tu nikueleweshe,Yanga ina kocha mpya na 35% ya wachezaji ni wapya ukiiangalia Yanga unaona kabisa bado ina kitu inatengeneza,na iwapo itaclick hii timu itatamba miaka 3 hadi 4 ijayo wakati makolo mkijenga timu ya wazee imagine max kwa umri wake mdogo anatokea benchi na azizi ki amalizi dk 90 na bado timu inapata matokeo then timu hii uje kuilinganisha na timu ya babu ntibanzoka anayecheza dk 90,kolos ni uchawi na m pesa ambazo at least zinaweza kufanya mkashika nafasi ya 3 msimu ila kimpira Yanga imewaacha mbali
 
Mbumbumbu si kolo, au umesahau Mzee wa Tabora alivyowaita mambumbumbu? Yanga ni bingwa wa ligi ya tz mara 29, Simba mara 22. Hapo mkubwa nan? Simba ndio timu inayoongoza kufungwa na Yanga kuliko timu yoyote hapa tz. Hayo mashindano ya kimataifa mnayojidai nayo tuonyeshe hata medali ntaama nchi. Maneno mengi na kujitutumua tu kama maskini aliyekodisha ist kwenda kutongozea!! Liverpool amechukua UEFA champions 6 man u 3 lakn man u n mkubwa kwa liver kwa sabab amebeba ndoo nying epl.
 
Wakati mwingine muwe mnatfa takwimu ndo mbishane! Yanga bingwa mar la 29 Simba mara 22, H2H Yanga ameshinda mara nyingi dhidi ya Simba, Ukongwe , Yanga ndo wakwanza kuanzishwa! Nan mkubwa sasa?
 
Yanga wanacheza kwa kupambana dakika zote 90.
Pia Kocha wao anafanya rotation nzuri sana kwa kuingiza nguvu mpya kila wakati.

Simba hawako vizuri kwenye rotation ya kuingiza nguvu mpya.
Utashangaa Boko anacheza dakika 90 na hana madhara golini na unaachwa tu.

Nawapongeza Yanga kwa ushindi mnono ila KMC ni wabovu sana sana.

Yanga wana asilimia (43%) kwa sasa ya kutwa Ubingwa wa Ligi.
 
Hata kufika final haikuwa sio level zetu, ila leo ndio club ya kwanza kutoka Tanzania kufika fainali michuano ya CAF. Nyie endeleeni kuishia robo.
 
Hauna tofauti anaye jivunia kupiga picha na mzungu. Ndio na jivunia sababu hata ww uliipata nafasi ukashindwa kufika hata nusu.

Sawa kila kitu kwa awamu hata Confederation sikuwahi kufika hata robo,ila msimu uliopita nikafika final hata huko nitafika na kuandika rekodi yangu kama nilivyo andika ya Confederation, wewe endelea kushiriki na kufika robo ndio uwezo wako ulipo ishia ktk michuano yote ya CAF.
 
Timu zilizofanya vizuri kimataifa zitacheza African Super Cup.
Yanga walicheza shirikisho fainali wakavaa medali.
Kwanini hawapo African Super Cup?
Sawa wewe na Raja nani alifanya vizuri michuano iliyopita?Mbona Raja hayupo au wewe ni bora kuliko Raja?

Africa super Cup maamuzi yao haya kuangalia msimu wa 22/23 bali kuanzia 20 kurudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…