FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Kila timu itakayocheza na yanga lazima waonekane wabovu.hata Simba kule yanga walivyopaki Basi walikuwa wabovu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna timu hapa Tz imewahi kuwa bora kama Yanga ya Nabi na hii ya Gamondi.
Ni mapema kusema Yanga ya Gamondi ni bora maana wale Wahabeshi walikua wanafika sana golini, ngoja ikutane na Al Merreikh ya Sudan kwenye round ya pili ya CAF ndo tutaipima vizuri Yanga ya Gamondi.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hata kufika final haikuwa sio level zetu, ila leo ndio club ya kwanza kutoka Tanzania kufika fainali michuano ya CAF. Nyie endeleeni kuishia robo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlimsindikiza USMA hadi mwisho wa safari yake, huna cha kujivunia.

Sisi tunaishia Robo michuano yote tuliyo shiriki, wee mbna CL hata kuingia Makundi ni shidaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimekuambia sema CAF ipi ulifika Final, unaficha nn?? Au unaogopaaa??
 
Yes nataka uhakika, haya taja hapa ni CAF ipi mlifika final.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye comment zangu zote nimeitaja Confederation.

Vp ww ushawahi kufika.....? Pamoja nakuota moto kwenu.
 
Sawa sisi tulimsindikiza mbona nyie msimu ule mlioota moto kwanini hamku msimdikiza Berkane mpaka fanali,mkaishia robo.

Nyie hamuheleweki Championship mnaishia robo, confederation mpaka mnaota moto katikati ya uwanja ila bado mkaishia robo.
 
Sawa sisi tulimsindikiza mbona nyie msimu ule mlioota moto kwanini hamku msimdikiza Berkane mpaka fanali,mkaishia robo.

Nyie hamuheleweki Championship mnaishia robo, confederation mpaka mnaota moto katikati ya uwanja ila bado mkaishia robo.
Afadhari sisi tunaishia Robo hadi ambako nyinyi kuingia makundi ni shidaaa, na hapo sijasema kuvukaaa.

Hatuwezi kumsindikiza mtu had mwisho wa safari yake ikiwa hatutaki, na je wakati huo wee pia ulikua wapiii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…