FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

Yanga ni Bingwa Mtetezi au sio Bingwa Mtetezi? Acha kurukaruka Kombe la Msimu uliopita alichukua nani na analo nani hadi leo?
 
Huyu kocha ndiyo kusema hamkubali Konkoni, au!! Kila mechi anaanzia benchi!!

All in all, nawatakia wananchi ushindi.
 
Nyumbu katika ubora wako
 
Mpira umeanza huku timu zote zikionesha Morale ya kuhitaji sana matokeo ya sare
 
All the best Dar Young Africans [emoji169][emoji172]
Mabingwa watetezi
 
Pass 23 zinapigwa karibia na box la Kmc wachezaji wa Kmc wanaotafuta mpira Kwa tochi hapa alaaaaahaa goooo dah anakosa pale... Ebwana eee Yanga Tamu [emoji2957]
 
Kmc wanaanza kubutua huku Yanga wakipiga pasi Safi kama Xavi [emoji1787] ni ta tah tab
 
Gooola Musonda anakosa pale dah...
Hii Yanga ni zaidi ya Man city [emoji16]
 
Azizi Ki anapiga shuti kipa anafanya save
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…