FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Huyu kocha kwa mara ya pili ananikera. Sikuwa namkubali ila leo ndo amezidi kuniboa kabisa.
 
kwamba saido hastahili kadi hapo daaah refa huyu
 
Huyu kocha ana tatizo,kama kwa huu usajili hawezi kushinda mechi anafanya nini Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…