FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Ndio kaingia Joni Boko
Huyu kocha akiikosa hii ngao, anatakiwa afukuzwe.

Team anayochezesha ni ileile ya zamani kasoro Che aliyechukua nafasi ya Onyango, inamaana kwa style hii kundi kubwa la wachezaji waliosajiliwa litaishia benchi ili viwango vyao vififie, kisha tuseme tulisajili magarasa.

Kocha asiyejua lolote la kufanya kwa Kibu, Ntiba, na Bocco atasaidia nini?
 
Una kitu mkuu
 
Back
Top Bottom