Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen[emoji1787]Lolote liwakute
Refa anataka tukutane fainaliSingida wanacheza faulo sana ila sometimes wanahukumiwa na maamuzi ambayo hayastahili kulingana na uzito wa kosa.
Lile tatizo lako la kichwa kuwaka moto litakuwa limerudi.Ukiwa na jicho la kimpira utaelewa ninachosema na sio lazima uelewe
[emoji1787][emoji1787]Ukiwa huangalii mpira unaweza fikiri Makolo wanacheza kama Man City, ukiwa unaangalia unathibitisha Kitayose ni bora mara mia na wachezaji kiwango chao hakina tofauti na Yikpe
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui labda inawezekanaHivi refa hafanyiwi sub aisee?
maamuzi ya hovyo ya refa yamewatoa mchezoniSingida wanacheza faulo sana ila sometimes wanahukumiwa na maamuzi ambayo hayastahili kulingana na uzito wa kosa.
Huyu kocha akiikosa hii ngao, anatakiwa afukuzwe.Ndio kaingia Joni Boko
Kichwa gani ?Lile tatizo lako la kichwa kuwaka moto litakuwa limerudi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi. Kuna wachezaji wakiamua kucheza hovyo wanacheza hovyo hadi unataka uwatukane. Kibu Dennis miongoni mwao.Singida wanacheza faulo sana ila sometimes wanahukumiwa na maamuzi ambayo hayastahili kulingana na uzito wa kosa.
MaelekezoRefa anataka tukutane fainali
Una kitu mkuuHuyu kocha akiikosa hii ngao, anatakiwa afukuzwe.
Team anayochezesha ni ileile ya zamani kasoro Che aliyechukua nafasi ya Onyango, inamaana kwa style hii kundi kubwa la wachezaji waliosajiliwa litaishia benchi ili viwango vyao vififie, kisha tuseme tulisajili magarasa.
Kocha asiyejua lolote la kufanya kwa Kibu, Ntiba, na Bocco atasaidia nini?
Wana faulo ila nyingi ni nyepesi zisizostahili adhabu ya kadi.Singida wanacheza faulo sana ila sometimes wanahukumiwa na maamuzi ambayo hayastahili kulingana na uzito wa kosa.