FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

onana anarudishia buti refa anakauka hahahahaha
 
Miquissone nje Kibu bado anaumwaga ndani, LOBATINYO anatutafuta la undani
Yani huyu akitolewa leo, kisha aendelee kuwepo hapo Simba Sc nitaamini kweli hakuna la maana viongozi wa Simba Sc wanafikiria.

Kama hawakua na mpango wa kutafuta kocha hivi karibuni, ni fadhali wamtimue team irudi kwa Mgunda kuliko kukaa na kocha wa nje mjingamjinga hivi.
 
Back
Top Bottom