Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo umeongea la maana tangu mwaka uanzeKwa mpira huu hakuna faida
Bora Mgunda arudi sio ?Yani kama tungeamua kuwa serious kama club zilizoendelea, kwa mchezo mbovu kama huu na kushindwa kwake ku-manage kikosi (kila mtu anajua) ilifaa kocha afukuzwe hata kama atashinda hii game kibahatibahati.
Wydad licha ya kuingia nusu fainali, ila kocha alitemeshwa kwa kucheza mchezo mbovu dhidi ya Simba Sc (team ambayo wao wanaona ni underdog), na hivyo ndivyo jinsi ambavyo club kubwa hufanya maamzi.
Players wa maana halafu unasumbuliwa na Singida huu si ujinga kabisa.
FactYani kama tungeamua kuwa serious kama club zilizoendelea, kwa mchezo mbovu kama huu na kushindwa kwake ku-manage kikosi (kila mtu anajua) ilifaa kocha afukuzwe hata kama atashinda hii game kibahatibahati.
Wydad licha ya kuingia nusu fainali, ila kocha alitemeshwa kwa kucheza mchezo mbovu dhidi ya Simba Sc (team ambayo wao wanaona ni underdog), na hivyo ndivyo jinsi ambavyo club kubwa hufanya maamzi.
Players wa maana halafu unasumbuliwa na Singida huu si ujinga kabisa.
Kwani simba wamezuiwa kupania?Hawa singida wamepania tu hawana lolote watakula Cha mkwezi
Kocha hatoshi ? Au usajili mbovu ?Kuna vitu vinasikitisha sana. Mpira hauendani na gharama za usajili
Kabisaa. Shida nayoiona ni wachezaji kutafuta umaarufu binafsi. Kujituma hakunaKuna vitu vinasikitisha sana. Mpira hauendani na gharama za usajili
Shida sio kushinda, shida ni mategemeo yalikuwa mlima ila uhalisia kichuguu.Hawa singida wamepania tu hawana lolote watakula Cha mkwezi
Kocha wa hovyo sana huyu,wangemwacha tu NgundaYani kama tungeamua kuwa serious kama club zilizoendelea, kwa mchezo mbovu kama huu na kushindwa kwake ku-manage kikosi (kila mtu anajua) ilifaa kocha afukuzwe hata kama atashinda hii game kibahatibahati.
Wydad licha ya kuingia nusu fainali, ila kocha alitemeshwa kwa kucheza mchezo mbovu dhidi ya Simba Sc (team ambayo wao wanaona ni underdog), na hivyo ndivyo jinsi ambavyo club kubwa hufanya maamzi.
Players wa maana halafu unasumbuliwa na Singida huu si ujinga kabisa.
mlifurahia bonanza leo mmejionea wenyewe hamna timuKuna vitu vinasikitisha sana. Mpira hauendani na gharama za usajili
Kocha ffalla sana huyu asee.Onana katoa ulimi nje kocha Hana habari [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo Waydad + Raja wamemaliza ktk positions gani ktk ligi yao ?Fact