FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

Yani kama tungeamua kuwa serious kama club zilizoendelea, kwa mchezo mbovu kama huu na kushindwa kwake ku-manage kikosi (kila mtu anajua) ilifaa kocha afukuzwe hata kama atashinda hii game kibahatibahati.

Wydad licha ya kuingia nusu fainali, ila kocha alitemeshwa kwa kucheza mchezo mbovu dhidi ya Simba Sc (team ambayo wao wanaona ni underdog), na hivyo ndivyo jinsi ambavyo club kubwa hufanya maamzi.

Players wa maana halafu unasumbuliwa na Singida huu si ujinga kabisa.
Bora Mgunda arudi sio ?
 
Fact
 
Kocha wa hovyo sana huyu,wangemwacha tu Ngunda
 
Back
Top Bottom