Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Tajiri anasema katoa B3, kwenye 20 zimebaki 17Kuna vitu vinasikitisha sana. Mpira hauendani na gharama za usajili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tajiri anasema katoa B3, kwenye 20 zimebaki 17Kuna vitu vinasikitisha sana. Mpira hauendani na gharama za usajili
We unadhani mchezo nini? Utoe kitita kusajili wachezaji halafu uone huu utumbo uwanjani utaacha kuwa na stress? Maana yake ni kwamba msimu ujao pia atoboke pesa nyingi kusajili kundi jingine kubwa la wachezaji ambao matokeo yake ni unforseen.Simba inacheza utafikiria ninile ya mwaka 1936 wakati inaanzishwa, tofauti ni ndogo hivi. Kumbe zile kelele za Mwamed zinatokanaga na depression za Simba hii
Mpira wa jana ulikuwa si butua butua ulikuaa ni mchezo wa kuwaonesha kuwa watu wamejipanga kimkakati zaid
===
Greatest of all time
Leo ni Sikukuu ya Soka.
Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga.
Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo wanatarajiwa kutoa burudani kubwa sana kwa wapenda kandanda nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla mara baada ya butua butua na piga nikupige ya jana.
Singida ambayo imefuzu kucheza kimataifa nayo imesajili wachezaji kadhaa akiwemo Kiyombo, Babu Onyango, Yahaya Mbegu na wengineo wanatarajiwa kuleta ushindani.
Ewe mwana Simba uliyepo Kasulu, Jinja, Makambako, Kisumu, Uyui, Ndola, na mahala popote tegemea mpira mkubwa leo na mechi yenye mvuto.
Mechi itapigwa Saa 1:00 Usiku na itakuwa mubashara kupitia Azam Sports 1HD.
---
Kikosi cha Simba kinachoanza
Kikosi cha Singida FG kilichoanza
---
Mpira umeanza
04' Bado milango ni migumu bado hawajafungana
05' Singida wanapata goli lakini linakataliwa
40' Bado milango migumu kwa timu zote mbli huku zikishambuliana kwa zamu
45' Mapumziko timu bado hazijafungana
46' Anaingia Ngoma na Bocco wanatoka Kanoute na Baleke
55' Milango bado migumu kwa timu zote mbili
Mapema hiviToa onanaaa
Eti leo hii Mgunda hajulikani hata aliko.Hamna ushindi hapa, tatizo hatuamini uwezo wa makocha wetu wa ndani,huyu kocha anazidiwa na Ngunda
Wameshinda?Angalau sasa wameanza kucheza ball
Achana na wydad na raja zingatia hoja ya mdau...Hiyo Waydad + Raja wamemaliza ktk positions gani ktk ligi yao ?
Yeye hata afanye nini bado tunaojua mpira hatuoni kama anafaa kuendela kuwepo Simba Sc.Tusikie malalamiko Phiri ajaingia, kocha kashaona mambo magumu anaona ili kupunguza lawama toka kwa mashabiki ameamua kuingiza
Bado kipindi cha Kwanza ilikua vuruguWameshinda?
Sasa si amechoka mkuuMapema hivi