FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

SBS ni funzo kwa uto na robo robo fc, kwamba hakuna haja ya kutumia gharama kubwa kununua wacheza wa kigeni ambao hawazisaidii timu zao kwa lolote.
Kwa hiyo Aziz Ki auzwe? Maana amesababisha misimu miwili tusiende kambi nje ya nchi
 
Raha sana ukiangalia penati bila presha.
 
Hivi kuna mchezaji ambae bado hajacheza ukimtoa Kramo?

Inonga nae kaumia, miezi 2 nje
Singida wamemtafutia lawama refa na kwa hivyo wamefanikiwa kututoa mchezoni.

Haikuwa malengo yetu kushinda hii mechi kaa penati ila hatuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…