Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hakuna kitu humo.Ngoja tuone dkgo kama ameimarika kudaka penalti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu humo.Ngoja tuone dkgo kama ameimarika kudaka penalti
😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu refa Simba wakifunga anaweza kushangilia Goli [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala kwenye matamasha.Mpaka hapa ni dhahiri mmejua mpira hauchezwi mdomoni.
Kwa hiyo Aziz Ki auzwe? Maana amesababisha misimu miwili tusiende kambi nje ya nchiSBS ni funzo kwa uto na robo robo fc, kwamba hakuna haja ya kutumia gharama kubwa kununua wacheza wa kigeni ambao hawazisaidii timu zao kwa lolote.
Ngoja tuoneAtakudhihirishia kuwa ulikuwa una fikra za uongo
Kabisa Mkuu.Wala kwenye matamasha.
Hiki ndo kikosi chao mkuu, timu hawana kabisa hawa wahuni.Hivi Makolo wana kikosi kingine au ndiyo tumemaliza
Ha ha haaa...
Kocha baada ya kuona ngoma ngumu, akaamua kuwafunga na kuwaziba midomo Mashabiki kwa kumuingiza Phiri.
Aahaaaa,kaona shambulio linaenda kuwaua Simba akaona isiwe tabu,kamalizaRefa kazingua mnyama alikua ashachinjwa.
Singida wamemtafutia lawama refa na kwa hivyo wamefanikiwa kututoa mchezoni.Hivi kuna mchezaji ambae bado hajacheza ukimtoa Kramo?
Inonga nae kaumia, miezi 2 nje
Sawa, ngoja tuone kaka.Alidaka moja huko pre season
Hivi popoma kapigwa ban ?Vijana wa Rage wakifungwa hili jukwaa moderator walipe ulinzi mkali maana matusi na nyuzi za malalamiko zitajaa..