Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Penati hazina mwenyewe, mara paap Singida Fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da nimecheka Sana [emoji23] Acha kabisaHahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila refa kaona Simba wanaweza fungwa kamaliza Mpira.
Ha ha haaa...Phiri usingeingia timu linacheza hovyo hilo, chiba anataka ajitoe kwenye lawama.
Alidaka moja huko pre seasonHuyu chiba, kwamba kwenye benchi hakuna kipa mdaka penati, ndio kamuacha huyu ally salim🤣
Haya ngoja tuone.
KwaniniMpaka hapa lobatinyo ni wa kufukuza
Kwa mpira huu tuliouona hapa ?Ilikuwa kwa ajili ya Super League
Anatolea kwa penalties hata km lefa alikuja na matokeo yake ataumbukaRefa kazingua mnyama alikua ashachinjwa.
We bwege umefanya nimecheka mpk nimepaliwa hii kinywaj yanguKwanza ngao sio kombe kihivyo basi tu
Yote memaPenati hazina mwenyewe, mara paap Singida Fainali
Ukifanya vizuri utapongezwa ila inapofikia wakati uwezo wako hauwezi kusaidia tena ni lazima utafutiwe namna.Mwanzoni mmlimwagia sana sifa hasa alipomfunga Nabi ila sasa mnamkataa....